- "Ningeutoa mkono wangu wa kulia kuwa sisimizi."
- "Ukifika kwenye njia panda, ifuate."
- "Unaweza kujionea mengi tu kwa kutazama tu."
- "Hakuna mtu huenda hapo tena pamejaa umati.".
- "Siwezi kuwa makini wakati ninapo waza."
- "Umbele sio kama ulivyokuwa."
- "Sita wanunulia watoto wangu kamusi-elezo. Waacha watembee kwenda shule kama nilvyofanya.".
- "Tumepotea, lakini tunauda wakati mzuri."
- "Nusu ya uongo wanenao kunihusu si kweli."
- "Shiringi si thamani ya peni tena."
- "Ni kama Deja Vu, mara nyingine tena."
- "Hayajaisha mpaka yawe yameisha."
- Bi Lindsay: "Wewe hakika nimtanashati." Yogi Berra: "Asante, si eti umaridadi sana pia."
- "Kama ulimwengu walikuwa kamili, haungelikuwa."